Makalla amuombea Rais Samia jina miradi DSM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameomba jina la Rais Samia Suluhu Hassani liwekwe kwenye miradi ijayo ili kuwepo na kumbukumbu. Miradi mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo madaraja makubwa na barabaraa imeandikwa majina ya viongozi. Makalla ametoa ombi hilo wakati wa hafla ya uzinduzi wa daraja la Tanzanite lenye urefu wa km 1.03….
