Maafisa ugani kuajiriwa Bodi ya Korosho Tanzania
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuajiri maafisa ugani ili kuongeza tija ya uzalishaji wa Tasnia ya Zao la Korosho nchini. Waziri Bashe ametoa maelekezo hayo katika Mkutano wa Tathimini ya Uzalishaji, Ubanguaji na Masoko ya Zao la Korosho kwa Msimu wa 2023/2024 katika ukumbi wa PSSSF, jijini Dodoma Aprili…
