sss

Msitoroshe madini: Rais Samia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wachimbaji wadogo wawe wazalendo kwa kuacha kutorosha madini. Rais Samia amesema hayo wakati wa utiaji saini kati ya serikali na kampuni tatu za madini kutoka Australia Chamwino Dodoma April 17, 2023. “Niwaombe sana wachimbaji wadogo sasa ule utoroshaji hebu tuwe wazalendo zaidi. Tuna viwanda ndani vya kuchakata madini,…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 04 07 at 16.26.46

Tunaendelea kuboresha mazingira ya biashara: Serikali

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru, amewahakikishia wafanyabiashara na makampuni binafsi kwamba Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya biashara nchini ili kuwawezesha kuendelea kuwekeza na kukuza uchumi wa nchi. Mafuru ametoa ahadi hiyo wakati wa mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) Takashi Araki. Amesema Sekta Binafsi ina imani…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 02 23 at 15.14.40

Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji: Mwigulu

Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo wamefanya majadiliano ya uboreshaji mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini illi kuwavutia wawekezaji. Hayo yamelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba wakati akifungua Mkutano wa ngazi ya juu wa Majadiliano ya kimkakati kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Serikali…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks