Dk. Mpango ataka maoni ya wafanyabiashara yazingatiwe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, kuchukua maoni ya wafanyabiashara na wawekezaji ili kuboresha sera na sheria za kodi. Ametoa agizo hilo Februari 27, 2024 wakati wa Jukwaa…
