Filamu ya The Hidden Tanzania inakuja: Rais Samia
Rais wa Tanzania Samia Suhulu Hassan amesema awamu ya pili ya filamu ya kuonesha utalii wa Tanzania inakuja. Rais Samia amesema “ndugu zangu nilipokuwa nazindua ile filamu ya Royal Tour pale Arusha nilisema kwamba ile ilikuwa phase ya kwanza (awamu ya kwanza) tunakwenda na phase ya pili, waandaaji wameshakuja na plan (mpango) ya phase ya…
