Tanzania nchi ya kwanza Afrika mwenyeji Mashindano ya Urembo Dunia
Tanzania inakuwa nchi ya kwanza katika Bara la Afrika na ya 12 duniani kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Dunia ya Urembo, Utanashati na Mitindo kwa Viziwi Duniani. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 28, 2022 jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbas amesema shindano hilo litafanyika leo…
