Serikali kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji
Serikali imepanga kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo kwa kuelekeza rasilimali zaidi kwenye ujenzi wa miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde wakati akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara na wadau wanaouza mazao ya kilimo ndani na nje ya nchi. Mavunde amesema kuwa katika bajeti ya mwaka wa fedha…
