Mashine ya tisa yakabidhiwa, yakamilisha MW 2115 – Bwawa la Julius Nyerere
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan sekta ya nishati imepiga hatua kubwa nchini sambamba na kuzalisha umeme wa ziada dhidi ya mahitaji ya Watanzania. Dkt. Biteko amesema hayo Machi 23, 2025…
