Serikali ya Tanzania yaweka nguvu ujenzi miundombinu
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inaweka nguvu katika masuala ya ujenzi wa miundombinu hususani ya Reli ya Kisasa (SGR) ili kuchochea ukuaji wa uchumi na uwekezaji. Amesema hayo jijini Warsaw Poland wakati wa mkutano wake na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye pia anasimamia nchi ya Poland, Hassani Iddi Mwamweta, wakati…
