Walimu Afrika wanawezaje kuunda mustakabali wa bara hili?
Katika miaka 25 ijayo, idadi ya watu barani Afrika inatarajiwa kuongezeka mara mbili na kufikia bilioni 2.5 – sawa na robo moja ya idadi ya watu wote duniani. Walimu barani Afrika wanategemewa zaidi juu ya mustakabali wa bara hili. Makadirio haya yanatarajiwa kuwa na faida nyingi ikiwemo kukua kwa masoko, uvumbuzi na kuongezeka kwa uzalishaji….
