TRA yajipanga kukusanya trilioni 30.449 mwaka wa fedha 2024/2025
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka malengo ya kukusanya shilingi trilioni 30.449 katika Mwaka wa Fedha 2024/2025. Kamisha Mkuu wa TRA Yusuph Juma Mwenda amesema hayo Januari 06, 2025 wakati wa Kikao Kazi cha siku tano kinacho Tathmini Utendaji kazi wa Nusu Mwaka wa TRA kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, kinachofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa…
