Parachichi za Kenya kuuzwa China
Baada ya takribani miaka minne ya ushawishi, serikali ya China sasa imeiruhusu Kenya kupeleka zao la parachichi nchini humo. Mwaka 2019, China ilifungia uingizwaji wa bidhaa hizo baada ya kuenea kwa usafirishwaji wa ndani. Mkurugenzi Mtendaji wa Kephis Theophilus Mutui amesema “Kenya imepewa fursa ya kupata soko la parachichi nchini China.” Mwishoni mwa mwezi Januari,…
