Waziri Bashe akabidhi hundi ya bilioni 13 kwa wakulima wa tumbaku
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekabidhi hundi ya Shilingi Bilioni 13 kwa Chama cha Ushirika cha Tobacco Cooperative Joint Enterprises Limited (TCJE) kwa ajili ya malipo ya ruzuku kwa wakulima wa Tumbaku nchini. Waziri Bashe amesema sababu ya Serikali kuwapa wakulima wa Tumbaku fedha hizo ni kwa ajili ya kulipia ruzuku ya zao hilo ili…
