Kikao kujadili utoroshaji wa madini chafanyika Dodoma
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, ameongoza kikao cha wataalam kutoka taasisi mbalimbali za Serikali kwa ajili ya kujadili mikakati ya kudhibiti utoroshaji wa madini nchini. Kikao hicho kimefanyika Oktoba 07, 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Madini Mtumba jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao hicho, Mbibo amesema kuwa ni wajibu…
