Bashungwa aingilia kati malalamiko stendi ya Magufuli
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa mabasi ili kuweka utaratibu mzuri ambao ni shirikishi wa utoaji huduma kwenye Kituo Kikuu cha mabasi cha Magufuli Dar es salaam. Bashugwa ametoa maelekezo…
