Pesatu Ujasiriamali

Mambo matano mjasiriamali anapaswa kujua

Ujasiriamali unaendelea kuwa kimbilio la wengi katika harakati za kupambana na ajira. Wananchi wengi wamekuwa wakitambua fursa na kutumia nafasi hiyo kujiajiri ili kumudu maisha. Japokuwa kundi kubwa la watu wanajikita katika kujiajiri, ni wachache tu ambao wanafikia mafanikio na kutimiza malengo yao. Unaweza kujiuliza, asilimia kubwa wanakosea wapi? Ni vitu gani ambavyo kila mjasiriamali…

Soma Zaidi
mwanri

Acheni kurusha mbegu: Mwanri

Balozi wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), Aggrey Mwanri amewataka wakulima wa zao la pamba katika wilaya Bariadi mkoa wa Simiyu kulima zao hilo kwa kutumia vipimo vipya vya kisasa. Vipimo hivyo ni sentimeta 60 kutoka mstari hadi mstari na sentimeta 30 kutoka shimo hadi shimo. Mwanri amewataka wakulima kufuata vipimo na kuachana na mtindo…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 11 25 at 2.39.07 PM

Kampuni za bima zitakazoshindwa kulipa fidia kufutiwa leseni

Serikali imeiagiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini (TIRA) kuzichukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kuzifutia leseni za kufanyabiashara nchini kampuni za Bima kuwalipa wateja wao fidia za majanga kwa wakati na kwa kuzingatia thamani halisi ya mali zilizokatiwa bima. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande, ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks