TAMISEMI yaomba Sh Trilioni 10.125
Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni 9.18. Kati ya fedha hizo,…
