WhatsApp Image 2023 05 23 at 17.21.39

Mtanzania wa kwanza apata cheti eneo huru la biashara Afrika

Mfanyabiashara wa kwanza wa Kitanzania amepata cheti cha kufanya biashara katika eneo huru la biashara Afrika (African Continental Free Trade Area), AfCFTA. Mfanyabiashara huyo Shabani Hamis ni kutoka katika kampuni ya kizawa ya EXPORT TRADING GROUP (ETG). Kampuni hiyo imenufaika na mkataba wa soko hilo na kufanikiwa kusafirisha kontena 9 za kahawa ya Kitanzania aina…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 16 at 11.58.15 AM

Zanzibar yapewa mafunzo mifumo ya biashara

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeendesha mafunzo ya mifumo ya biashara kwa maafisa wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar. Mafunzo hayo pia yamejumuisha wadau kutoka sekta mbalimbali za biashara visiwani humo. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Said Shaaban ambaye ni mgeni rasmi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks