Kutofahamu thamani ya uwekezaji changamoto kampuni kutoorodheshwa Soko la Hisa DSM
Serikali imesema kuwa Kampuni ambazo hazijaorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) hukutana na changamoto za kutofahamu thamani halisi ya uwekezaji kutokana na kukosekana kwa ukwasi wa hisa zao. Hayo yalisemwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John…
