Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri pesatu.co.tz

Vitu vya kuzingatia katika biashara ya vifaa vya ujenzi

Kila siku watu wanajenga huku wengine wakiziboresha nyumba zao. Ni rahisi kupata mafanikio makubwa kupitia biashara ya vifaa vya ujenzi maarufu kama “Hardware” vilevile ni rahisi kwa biashara hiyo kufa ikiwa mfanyabiashara hana mpango madhubuti wa kuifikisha mbali. Ikiwa unataka kufanikiwa katika biashara hii ni muhimu kuzingatia yafuatayo: Soko Ni muhimu kuelewa soko kabla ya…

Soma Zaidi
Bei petrol, dizeli zashuka Tanzania pesatu.com

Bei ya mafuta yaongezeka mwezi Februari

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Februari 05, 2025 kwa rejareja na jumla. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, bei ya petroli kwa rejareja katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.957, dizeli kwa asilimia…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 01 06 at 4.26.43 PM

Waziri ataka wawekezaji walindwe

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo ametoa maagizo kwa Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) kuwalinda wawekezaji hususani wa ndani ya nchi ili wasikwame katika suala la uwekezaji huku akiwaasa pia kuwawezesha pale panapostahili ili kukuza sekta ya uwekezaji nchini. Prof Mkumbo ametoa maagizo hayo Januari 5, 2025 wakati alipotembelea…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks