Serengeti Breweries Limited yaidhamini Simba SC Tsh 1.5b
Simba Sports Club na Serengeti Breweries Limited (SBL) wamesaini mkataba wa udhamini wa miaka mitatu wenye thamani ya Tsh bilioni 1.5 kupitia kinywaji chake cha Pilsner Lager. Akizungumza wakati wa utiaji saini mkataba huo, Mtendaji Mkuu wa Simba SC Imani Kajula amesema “ni ubia wa nguvu kabisa, ubia wa Simba wawili. Hii ni package (kifurushi)…
