Kiwanda cha shayiri Kilimanjaro kuanza kazi 2024
Kiwanda cha shayiri cha Kilimanjaro Malting Plant kilichopo mkoani Kilimanjaro kinatarajiwa kuanza kazi ifikapo mwezi Machi 2024. Hatua ya kuanza kazi kwa kiwanda hicho inatokana na kukamilika kwa makubaliano ya kimkataba kati ya kiwanda cha Kilimanjaro na TBL makubaliano ambayo yatapunguza uagizaji wa zao la shayiri kutoka nje. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza hayo…
