Tutahakikisha tunaondoa umaskini kwenye jamii: Serikali
Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo yakiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuhakikisha Tanzania inatimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu ya 2030 (SDGs). Malengo hayo, ambayo pamoja na mambo mengine, yamelenga kuondoa umasikini katika jamii. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Jenifa Omolo, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara hiyo Dkt….
