BoT, TCDC yavinoa Vyama vya Kuweka na Kukopa (SACCOS)
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa kushirikiana na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), inaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa Vyama vya Kuweka na Kukopa (SACCOS) kutoka Kanda ya Ziwa kuhusu matumizi ya Mfumo wa Kanzi Data za Wakopaji (Credit Reference System – CRS). Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Kaimu Mkuu…
