Benki ya Dunia yawekeza dola 370m sekta binafsi
Benki ya Dunia (WB) inayotoa mikopo na misaada kwa sekta binafsi (IFC), imewekeza zaidi ya dola za Marekani milioni 370 kwa ajili ya kuendeleza sekta hiyo nchini. Akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano na Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru WB na kusema “Sekta binafsi ni injini…
