sawaaaa

Uharibifu wa miundombinu wasitisha safari za treni Tanzania

Uharibifu wa miundombinu ya reli umesababisha Shirika la Reli Tanzania (TRC) kusitisha huduma za safari za treni kwa muda kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na TRC Januari 17, 2024 imetaja maeneo yaliyoharibiwa na mvua kuwa ni Mazimbu, Kilosa na Munisagara mkoani Morogoro, Godegode na Gulwe (Dodoma), Ruvu Junction, Wami, Mvave mkoani…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 25 at 13.52.39

Vikwazo nane vyaondolewa Tanzania, Zambia, vyabaki 16

Tanzania na Zambia zimekubaliana kuendelea kuondoa vikwazo mbalimbali vya kikodi na visivyo vya kikodi ambapo mpaka sasa vikwazo nane vimeondolewa kati ya 24 vilivyoainishwa na serikali hizo mbili. Makubaliano hayo ni pamoja na kuondoa urasimu, kuweka mazingira rahisi ya ufanyaji biashara, kuitumia vyema miundombinu inayounganisha nchi hizo na kuruhusu muingiliano wa watu. Hayo yamejadiliwa mjini…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 19 at 13.07.13

Wadau usafirishaji waomba nauli ipande

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekutana na wadau wa usafirishaji katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam Oktoba 18, 2023 ambapo wadau hao wamewasilisha ombi la kupandishwa kwa nauli. RC Chalamila amesema wadau wa usafirishaji ni kundi muhimu hakuna anayeweza kubeza ukweli huo,…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 12 at 14.27.12

Tanzania yasifiwa usimamizi mageuzi ya uchumi

Tanzania imesifiwa kwa usimamizi mzuri na mageuzi makubwa ya kiuchumi ikilinganishwa na nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hii ni katika kipindi ambacho Dunia inahangaika na misukosuko inayotokana na athari za UVIKO 19, mizozo ya vita pamoja na kuyumba kwa soko la fedha za kigeni. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti na Makamu…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 01 27 at 18.03.45

Hongera Rais Samia

Leo Januari 27, 2022 ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Watu mbalimbali, taasisi zilizo za serikali na za binafsi wamemtakia kheri Rais Samia. Ama kwa hakika salamu katika siku yake hii muhimu sio haba. Rais Samia leo ametimiza umri wa miaka 62, amesema yeye…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks