NISHATI YA NYUKLIA KUFUNGUA MILANGO VIWANDA TANZANIA
Nishati ya Nyuklia kufungua milango viwanda Tanzania.Tanzania imeingia katika ukurasa mpya wa historia ya nishati baada ya Serikali kutangaza rasmi kupiga hatua kubwa katika maandalizi ya uwekezaji na uzalishaji wa umeme kwa nishati ya nyuklia Tanzania. Hatua hii inakuja wakati nchi ikiwa katika mkakati mzito wa kuhakikisha usalama wa nishati ili kutosheleza mahitaji ya viwanda…
