Watieni nguvu wawekezaji: Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewasihi mashabiki wa Simba wamtie nguvu Mwekezaji Mohammed Dewji (Mo Dewji) kwa mafanikio yaliyopatikana tangu awe mwekezaji badala ya kumkatisha tamaa. Akiongea wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba jijini Dar es salaam, Makalla amesema “Simba sasa kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni jambo la…
