Afrika Mashariki yatakiwa kuendeleza Kiswahili
Wito umetolewa kwa nchi za Afrika Mashariki kuendeleza matumizi ya kiswahili katika maeneo muhimu ya kiutawala na kijamii. Rais mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chissano ametoa wito huo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya Taifa ya Mwl. Nyerere ya Uandishi Bunifu. Ameeleza kuwa kiswahili ni tunu na utambulisho wa afrika na…
