WhatsApp Image 2023 08 02 at 15.25.03

Sekondari zashauriwa kuanzisha klabu za historia

Shule za Sekondari nchini zimeshauriwa kuanzisha klabu za Historia kwa ajili ya kujenga uelewa kwa wanafunzi juu ya historia ya nchi yao na uzalendo. Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Malikale nchini Dkt. Kristowaja Ntandu alipotembelea Mnara wa Kumbukumbu ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Moringe Sokoine na kukutana na uongozi wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks