Serikali yadhamiria kumaliza tatizo la mafuta
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kufanya mageuzi makubwa kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta nchini. Waziri Mkuu amesema mageuzi hayo yatakwenda sambamba kwa kupanda miche mipya ikiwemo ya michikichi. Amesema hayo akiwa Mkoani Kigoma na kuwataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya wenye ardhi inayokubali zao hilo wafanye hivyo mara moja kwani…
