Punguzo hili litapunguza mapato ya Serikali: Mwigulu
Serikali ya Tanzania imefuta na kupunguza tozo za miamala ya kieletroniki. Hii imekuja baada ya kuwepo kwa mamalamiko kutoka kwa wananchi juu ya tozo hizo. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ametangaza uamuzi huo Septemba 20, 2022 bungeni Dodoma. Amesema Serikali imepunguza wigo wa tozo kuchochea matumizi ya miamala kwa ajili ya kurahisisha…
