Biashara ya makaa ya mawe kuinua uchumi
Biashara ya Makaa ya Mawe inatarajia kuleta tija kwa Watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya nchi. Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa ameeleza hayo Novemba 12, 2022 wilayani Mbinga mkoani Ruvuma alipotembelea mgodi wa uchimbaji wa Makaa ya Mawe wa Ruvuma Coal Ltd. Dk. Kiruswa amesema serikali imeweka…
