Madereva watakiwa kuzima magari ya serikali
Katika kubana matumizi ya fedha za serikali, Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson amewataka madereva wa viongozi wa serikali kuzima magari mara baada wanashuka kwenye magari. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma katika kikao cha ishirini na nne, mkutano wa saba Mei 17, 2022 Dk. Tulia amesema magari kuendelea kunguruma na dereva kubaki kwenye gari wakati kiongozi…
