80% ya utalii Tanzania unategemea wanyamapori
Takribani asilimia 80 ya utalii wa Tanzania unategemea wanyamapori. Kutokana na umuhimu huo wa wanyamapori, Tanzania imetenga takribani 32.5% ya eneo lake kwa ajili ya uhifadhi wa wanyamapori. Utalii umekuwa ukichangia 17.2% ya pato la taifa, asilimia 10 katika ajira na 25% ya fedha za kigeni. Waziri wa Maliasili na Utalii Angelah Kairuki, ameeleza hayo…
