Halmashauri Tanzania zakusanya 485.42 bilioni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesema kipindi cha mwezi July – December 2022 kwa mwaka wa fedha 2022/23 Halmashauri zimekusanya Jumla ya Shilingi Bilioni 485.42 sawa na 48% ya lengo la mwaka na 96% ya lengo la nusu mwaka. Ameeleza hayo Dodoma wakati akiwasilisha taarifa…
