Wadau zao la muhogo watakiwa kuongeza nguvu kwenye uchakataji
Wadau wa zao la muhugo nchini wametakiwa kushikamana na kuongeza nguvu katika uwekezaji wa viwanda na mashine za uchakataji wa zao la muhogo. Hiyo itawawezesha kulifikia soko la Ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa Tanzania ina nafasi ya kuzalisha bidhaa za muhogo na kuuza katika soko lenye watumiaji zaidi ya milioni 472.5. Mkurugenzi Mkuu wa…
