coffee farm orchard

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu wengi ambao wamefanikiwa bado wanaendelea kuzichangamkia fursa za kilimo biashara kwa sababu wanajua zina mafanikio makubwa na muda unavyozidi kwenda, teknolojia zinavyoendelea kuboreshwa kilimo biashara kitafanyika kwa urahisi zaidi. Hata watu waliofanikiwa tayari wanachangamkia kilimo…

Soma Zaidi
kkkk

Kilimo, uvuvi, ufugaji kuwekewa mkazo

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi na ufugaji kuanzaia mwaka wa fedha ujao. Akihutubia wananchi wa Mkoa wa Tabora Rais Samia alisisitiza kuwa sekta hizo zinawagusa wananchi moja kwa moja. Alisema kilimo cha maeneo makubwa kitasaidia kuondoa uhaba wa bidhaa mbalimbali kama mafuta ya kula na kumuagiza…

Soma Zaidi
mkoo

Naibu Waziri atamani kilimo kiwanufaishe wakulima

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amefanya ziara ya kikazi mkoani Tanga ambapo amezungumza Menejimenti ya Bodi ya Mkonge Tanzania baada ya kukagua ukarabati wa jengo la ofisi ya Bodi hiyo. “Natamani kuwaona wakulima nchini wakinufaika kwa kazi wanayoifanya”, amesema Naibu Waziri. Mavunde amesema Serikali ina malengo ya kukuza uchumi wa kaya na uchumi wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks