Serikali kujishughulisha na kilimo cha muda mfupi kudhibiti dola
Katika jitihada za kudhibiti dola Serikali ya Tanzania imesema inajishughulisha na kilimo hasa cha muda mfupi ambacho kinazalisha mazao kwa haraka. Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa wazalishaji bora (President’s Manufacturer of the year Awards – PMAYA) katika ukumbi wa Super Dome, Masaki. Ameeleza kuwa mbali…
