Mgodi wa wanawake wachangia Shilingi Milioni 800
Mgodi wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na wakinamama umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025. Mgodi huu, ambao kwa kiasi kikubwa unaendeshwa na wakinamama, upo katika Kijiji cha Mwime, Kata ya Zongamela, Kahama. Una leseni ya uchimbaji mdogo wa madini na umeajiri zaidi ya vijana 200. Afisa Madini…
