Tanzania, Israel kushirikiana ujuzi uzalishaji mbegu
Tanzania na Israel zimeanzisha mazungumzo kuelekea katika makubaliano ya kushirikiana katika maeneo ya uzalishaji wa mbegu na kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Hayo yamezungumzwa August 28, 2022 Jijini Tel Aviv, Israel wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Kilimo wa Israel Oded Forer na Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania Anthony Mavunde….
