Suala la Tanzania kuwa na nishati ya uhakika si la kusubiri: Dkt Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Kuendeleza Nishati ya Jua (ISA), Dkt. Ajay Mathur yenye Makao Makuu yake nchini India ambaye ameeleza nia ya ISA kuwekeza katika miradi ya umeme jua nchini. Mazungumzo kati ya Dkt. Biteko na Dkt….
