Vivutio vya utalii Tanzania vyavutia Hispania
Katika Maonesho ya Utalii ya FITUR yanayoendelea nchini Hispania, vivutio vya utalii vinavyopatikana nchini vimewavutia washiriki wengi. Kaimu Meneja wa Mikutano na Matukio wa Bodi ya Utalii (TTB) inayoratibu maonesho hayo kwa upande wa Tanzania Bi. Lily Fungamtama amesema kuwa wamepokea mawakala wengi wa utalii walioonyesha kuvutiwa na vivutio hivyo na kuweka miadi ya kuvitembelea…
