Helium One yalipa fidia ya milioni 100 kwa wananchi Itumbula-Songwe
Kampuni ya Helium One, inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya helium nchini Tanzania, imekamilisha zoezi la ulipaji fidia ya zaidi ya milioni 100 kwa wananchi waliopisha shughuli za maendeleo ya mradi huo. Wananchi hao ni wa vijiji vya Itumbula, Lwatwe, Masanyinta, Mkonko na Muungano Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza Aprili 24, 2025…
