CRDB yapata kibali Hatifungani ya Kijani
Benki ya CRDB imekabidhiwa kibali cha kuuza Hatifungani ya Kijani “Kijani Bondi” ya miaka 5 yenye thamani ya dola za marekani Milioni 300 sawa na Sh. Bilioni 780 na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA). Kibali hicho cha kutoa hatifungani ya kijani kimekabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa CMSA, Nicodemus Mkama kwa Mkurugenzi…
