Serikali yasaini makubaliano kusimamia bunifu
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Kampuni ya Tanzania Startups Association (TSA) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kuanzisha na kuimarisha miongozo mbalimbali inayosimamia bunifu na kampuni changa nchini (startup’s policy) Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Februari 14, 2023 jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi amesema lengo ni…
