Mnada wa madini ya vito warejeshwa, kufanyika Desemba 14
Mnada wa madini ya vito ambao ulisimama kwa muda umepangwa kufanyika tena Desemba 14, 2024. Waziri wa Madini Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mnada huo unaotarajiwa kufanyika katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ili kuyaongezea thamani madini hayo. Akizungumza Desemba 12, 2024, Mavunde amesema madini ya vito, yanafanyiwa mnada kama…
