BoT, Citibank wajadili mikopo chechefu
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba, amekutana na Mkuu wa Kundi la Citibank Kusini mwa Jangwa la Sahara, Akin Dawodu jijini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya fedha. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Mei 28, 2024, Gavana Tutuba amesema utendaji wa Citibank umeonesha kuongezeka kwa faida na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa…
