Kariakoo

Soko la Kariakoo kufunguliwa mwezi Agosti

Shirika la Masoko ya Kariakoo limetangaza kurejeshwa kwa wafanyabiashara 891 sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa ya Manejimenti ya Masoko ya Kariakoo inaeleza kuwa orodha hiyo ina majina ya wafanyabiashara waliokidhi sifa na vigezo. “Wafanyabiashara wanaodaiwa na Shirika ambao wapo kwenye orodha wanajulishwa kuwa hawatarejeshwa sokoni…

Soma Zaidi
eee 1

Tanzania, Msumbiji kujadili biashara, uwekezaji

Tanzania na Msumbiji wanatarajiwa kushiriki mazungumzo ya pamoja ambayo yatajikita katika sekta ya biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika Julai 02, 2024 ambapo Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi atafanya ziara ya Kiserikali ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Rais Samia na Rais Nyusi,…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 06 06 at 16.18.28

BoT, OR-TAMISEMI kujadili sekta huduma za mikopo

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inashirikiana na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) katika kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya huduma ndogo za fedha nchini. Sekta hizo ni pamoja na huduma za mikopo ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na manufaa kwa wananchi na uchumi wa nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati…

Soma Zaidi
jjjj

TANROADS kuanza ujenzi daraja la Jangwani

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameesema hayo Mei 29,2024 bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/2025. Amesema mradi huo ni sehemu ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks