Wakopeshaji watakiwa kuwa na leseni
Ni ukweli usiopingika kuwa hali ngumu ya maisha, kukosekana kwa kipato cha uhakika kumesababisha wananchi wengi kuishi kwa kutegemea mikopo kutoka sehemu mbalimbali rasmi na zisizo rasmi. Ipo ile ambayo hutolewa na taasisi za fedha kama benki, vikundi vya kuwezeshana na mingine hutolewa na watu binafsi. Mikopo hii kwa namna moja ama nyingine imekuwa ikisababisha…
